Frequently Asked Questions

Frequently Asked Questions:

What is Carbon?
Carbon Dioxide (CO2) is one of the gases in the air.  Living things have a lot of carbon in them and some is given off into the air all the time just by breathing but burning wood and oil gives off lots of carbon all at once.  Plants take in this Carbon Dioxide and use the carbon to grow.  As more and more people have been born, they have been cutting down more and more trees for fuel and timber and to clear land for farming.  This adds more Carbon Dioxide to the air and leaves fewer plants to take it out. 

What is Climate Change?
As well as this, people are burning more and more fuels like coal and oil, which adds even more carbon to the air.  Carbon Dioxide is one of the gases that traps the heat of the Sun and so much more is now in the air that the whole Planet Earth is starting to warm up, changing the weather in odd ways, damaging some crops and herds and making the sea level higher, threatening many people who live near the coast. This is called Global Warming, or Climate Change because the changes are different in different places.

Why Fix Carbon?
Protecting places with lots of plants, like forests and mangroves, and planting in new areas, can fix a lot of carbon out of the air, slowing the problem of Climate Change.  People don’t want to stop having children or burning fuel, but planting is just one of lots of ways to help to slow down Climate Change. 

Managing Mangroves
People living near mangroves depend on them for many things and so we are working out ways to help people manage them without harming them over time.  This is called Sustainable use, so the mangroves will still be there when the children grow up, not just for fuel, but with all sorts of other benefits. 

What is Carbon-Offset?
Many people living in other countries are looking for ways to make up for the fuel that they burn.  Many can’t grow forests, but do have money.  We are setting up ways for them to pay for protecting, improving and planting mangroves, which will then be managed Sustainably, providing some timber and fuel for local people, but fixing lots of carbon and protecting the shore, for the good for everyone.  This is called Carbon-Offset, in this case people in one country paying to support mangroves in another.


ENGLISH TO SWAHILI TRANSLATION

Ni nini Hewa Kaa? (What is Carbon?)
Hewa kaa ni miongoni mwa hewa chafu zinazo patikana hewani. Viumbe tofauti hutoa hewa kaa kwa kupumua, mbali na hivyo uchomaji wa msitu na mafuta hutoa hewa hii zaidi. Mimea huvuta hewa kaa ili iweze kukua. Jinsi watu wanavyozidi kuzaliwa ndivyo wanavyozudi kukata miti zaidi kwa matumizi ya kuni, mbao na wanatapotayarisha mashamba yao kwa ajili ya ukulima. Hii ina sababisha ongezeko la hewa kaa hewani na upungufu wa idadi ya miti inayoweza kuvuta hewaa hii.

Ni nini mabadiliko ya hali ya anga?( What is Climate Change?)
Jinsi watu wanavyozidi kutumia makaa, mafuta na kuchoma misitu ndivyo  kiwango cha hewa kaa  kinavyozidi angani. Hewwaa kaa ni miongoni mwa hewa zinazo zuia miale ya jua kurudi angani, hivyo inasababisha ongezeko la kiwango cha joto. Kiwango hichi husabisha mabadio ya ghala ya hali ya anga, uaribifu wa mimea na mifugo,ongezeko la kiwango cha maji baharini ambalo linatia hofu wakaazi wa maeneo ya fuo za bahari. Haya yote ni mabadiliko ya hali ya anga.


Vipi hewa kaa inaweza kupunguzwa angani? (Why Fix Carbon?)
Uhifadhi wa  misitu,mikoko na upandaji wa miti unaweza kupunguza kiwango cha hewa kaa angani na kasi ya mabadiliko ya hali ya anga. Upandaji wa miti ni moja wapo ya njia zizozuia kasi ya mabadiliko ya anga licha ya watu kutoacha kuzaa na kutumia mafuta.
Utunzi wa Mikoko. (Managing Mangroves)

Watu wanoishi kandokando ya misitu ya mikoko wanategemea mikoko hii kwa maitaji yao mengi sana, hivyo basi hatuna budi ila kutafuta njia za wakaazi hawa kuitunza mikoko bila yakuleta madhara yoyote. Na hayo ndio matumizi bora, kwani mikoko itabakia ilihali watoto wanaendelea kukua , na sio kwa matumizi ya kuni tu ila kwa faida tofauti tofauti.


Ni vipi biashara ya hewa Kaa? (What is Carbon-Offset?)
Watu katika nchi zilizo endelea wanatafuta jinsi watakavyo fidia hewa chafu angani zinazosabishwa na matumizi ya mafuta katika Shughuli zao tofauti tofauti. Wengi wao hawawezi kupanda miti ijapokuwa wana pesa. Sisi tunafuta njia ambazo tutalipwa kwa uhifadhi, uboreshaji na upanzi wa mikoko, ambayo itatunzwa vyema kwa ajili ya mbao na kuni kwa wakaazi na usafishaji hewa na uhifadhi wa fuo za bahari kwa faida ya kila mmoja. Hii ndio Biashara ya hewa kaa, yani mtu wanchi nyengine analipa kwa miniajili ya uhifadhi wa mikoko katika nchi nyengine.